HANNAH KAMAU

Ni kiongozi katika mpango wa kimataifa wa afya viwandani,mwenye uzoefu
wa zaidi ya miaka 13 katika usimamizi na utekelezaji wa mipango ya ulinzi wa
Afya usimamizi wa hospitali na afya, usimamizi wa rasilimali, wahudumu
wa afya na wagonjwa kwa kuzingatia afya ya jamii na umma, afya ya
nyumban, ushauri na utungaji wa sera za afya.
Ni mshauri wa kimataifa katika mashirika ya kimataifa, serikali,NGO’s,
kuanzisha ubia wa umma na wa kibinafsi wenye thamani zaidi ya dollar
millioni 50. Mjasiriamali wa mfululizo na anayepata nafasi katika bodi
za ushauri na mipango,operesheni na sera.