RIPOTI YA UZINDUZI WA KIKAO CHA KWANZA CHA BODI
Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake Tanzania (TAWOMA) kilianzishwa tarehe 22mwezi August, mwaka 1997 na kusajiliwa rasmi tarehe 23 Novemba mwaka 1997 na kupatahati ya usajili namba 9280. Lengo la kuanzishwa kwake ilikuwa ni kuhamasisha wanawakewengi kuingia kwenye Sekta...
RIPOTI YA MKUTANO MKUU WA 24 MAZINGIRA BORA MIGODINI KWA MAENDELEO YA WANAWAKE NA UCHUMI WA TAIFA
Viongozi waandamizi wa TAWOMA wakiongozwa Mwenyekiti wa chama, Bi. Gilly Rajah na Katibu, Bi. Salma Ernest walimuongoza mgeni rasmi Mhe. Waziri Dkt. Doto Biteko kutembelea mabanda ya maonyesho na kushuhudia utaalamu, huduma, bunifu mbalimbali kutoka kwa wadau wa...