Dr.HAWA MSHANA

Ni mkurugenzi mtendaji katika (UWA) United women association na mwanzilishi
wa (UWA) limited. kampuni ya mjasiriamali huko United Kingdom. Kwa pamoja
U.W.A Limited na UWA Hisani zimesajiliwa chini ya nyumba ya kampuni na tume
ya hisani Uingereza na Wales.
Ni mwanasayansi wa jamii na hutumia tafiti zilizotumika kushawishi uundaji wa sera.
Anahitaj kuona maisha bora kwa wanawake na wasichana wasiojiweza, ana nia ya
kuwezesha wanawake kupitia kuwajengea uwezo na anaamini ushirikiano na mbinu
mbalambali hutoa matokeo bora na pamoja tutastawi.
Dr. Hawa ana shauku ya kusaidia jamii zisizo na uwezo na ameorodheshwa tena
na kutumikiwa M.B.E kama mwanamke mwenye msukumo kwenye uongozi