KARIM BARUTI

Eng. Dkt. Baruti ni Daktari katika fani ya Uhandisi wa Migodi (mining engineering)
na mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 30. Katika kipindi hicho amejihusisha na kazi
mbali mbali katika sekta ndogo ya uchimbaji mdogo ASM nchini. Mwenyekiti wa
Board ya TAWOMA pia amewahi kuwa mwanzilishi na mlezi wa baadhi ya vyama
vya wachimbaji REMAs na mzoefu wa kufanya kazi katika board za taasisi za
serikali. Kwa sasa ni Mwenyekiti wa kamati ya kutengeneza viwango vya madini
nchini (TBS). Ni mhadhiri wa University of Dar es Salaam akiwa anafanyakazi za
kufundisha, kutoa ushauri na kufanya tafiti. Alipata elimu yake katika vyuo vikuu
vya University of Zambia, Australian National University na University of Dar es
Salaam. Pia amepitia vyuo vikuu vingine vya University of Dundee na Lulea university