RIPOTI YA MKUTANO MKUU WA 24 MAZINGIRA BORA MIGODINI KWA MAENDELEO YA WANAWAKE NA UCHUMI WA TAIFA

Viongozi waandamizi wa TAWOMA wakiongozwa Mwenyekiti wa chama, Bi. Gilly Rajah na
Katibu, Bi. Salma Ernest walimuongoza mgeni rasmi Mhe. Waziri Dkt. Doto Biteko
kutembelea mabanda ya maonyesho na kushuhudia utaalamu, huduma, bunifu
mbalimbali kutoka kwa wadau wa sekta ya madini. Mabanda yaliyotembelewa ni pamoja
na TAWOMA Vijana, TAWOMA Shop na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Katika
maonyesho hayo, Mhe. Waziri alipata pia wasaa wa kusikia changamoto mbalimbali
zinazowakabili wanawake katika sekta ya madini.

Soma zaidi hapa TAWOMA REPORT 2022

Free Exclusive Traffic Tips

About the Author: Secretary Tawoma

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *