Malkia wa Madini ni shindano lenye dhamira ya kuwashindanisha wanawake waliopo kwenye mnyororo wa thamani wa Madini Tanzania.
Watapatikana washidi 20 kwenye vipengele tofauti na ataekafanya vizuri zaidi atakuwa Malkia wa Madini 2024.
Sifa za Mshiriki: Mshiriki anatakiwa awe na umri kuanzia miaka 18, awe mchimbaji wa madini, mtoa huduma maeneo ya migodi ya madini, muongezaji wa thamani na wagongaji wa kokoto
Follow the below link : -